JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. JA.9/18/01"C"/7 27/12/2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe 18-11-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho
kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au
Leseni ya Udereva.
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
1 Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku (TORITA) LEGAL OFFICER II
1. IBRAHIMU ATHUMANI MSULWA
2 Wizara ya Katiba na Sheria WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II
1. KASILIDA KASIAN CHIMAGI
2. BAHATI TIBURSI JOHN
3 Wakala Ya Barabara za Vijijini na TECHNICIAN II (CIVIL)
Mijini(TARURA) 1. ANDREW MUSSA LWAHO
2. YONATHAN ADIN MWAKALINGA
3. OTHUMANI ISSA KAUNDU
4. JOSEPH GEORGE SHAYO
5. DAUD JACOB JOSEPH
6. JULIUS MARWA ALFRED
7. PETRODAMIANO PIUS
RWEYEMAMU
8. HAJI AMINI ISSA NTAZIMILA
9. INNOCENT XAVERY MWAMBE
10. EBIEZEL JASTINI STEPHANO
11. MUSSA ALLY DILMURAD
12. SHUKURU HARUNA MKENDA
13. SOLOMON EMMANUEL NJEJO
14. ABDILAH SHAIBU MWINYIMVUA
15. BAHEBULA ATHUMANI
NDAHAYANDE
16. MUSSA MISALABA MABINA
17. OSCAR DAVID MBONDEI
18. JACOB ISAACK MHEMA
19. ELISHA GEORGE NTAHOSIGAYE
20. HAPPINES ROBERT MBUGE
21. ISSAKA BENSON
MWAMBALASWA
22. JANETH HERMENT KISHE
23. VICTOR JORAM MOLLEL
24. HAMISI SELEMANI FUNDI
25. ELIYA PHILIPO KALANDALA
26. DANIEL DINO NGABO
27. EMMANUEL SAMWEL MAHENGE
28. JUSTINE MICHAEL BWENDA
29. EMMANUEL BUSENGWHA JOHN
30. ALPHA JOHN AMONI
31. GODFREY KAMUGISHA
ISHENGOMA
4 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu LEGAL OFFICER II
1. ESTHER STEVEN MWAKWENDA
5 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu TECHNICIAN II (CIVIL)
1. ZAKAYO FESTO NKENJA
6 Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) ARBITRATOR II
1. ANTONIA NYAMFURU AGAPITI
7 Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) MEDIATOR II
1. EMMANUEL MTAGENDA MARANDI
2. MAGRETH JOHN SIMBI
3. JACKSON SILVANUS LIWEWA
4. SAIDI ABDALLAH NJAMA
1
8 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II
1. SAUDA SEFU DUNGA
2. HANA HARUNI ANDREA
3. JOHARI JUMANNE NGEDE
4. AGUSTA AMANDUS MSIGWA
5. DIANA MBENGERA MSIMAMI
6. ESTHER ELIKUNDA MISHETO
9 Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha TECHNICIAN II (CIVIL)
(AICC) 1. SHAMIMU ALLY MWINYI
10 Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha TECHNICIAN II (ELECTRICAL)
(AICC) 1. PETER KASHINDI OBADIA
11 Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania ARTISAN II (PLUMBER)
(TALIRI) 1. HUSNA HASSANI MOHAMED
12 Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania LABORATORY TECHNICIAN II
(TALIRI) 1. ELIAS BENJAMIN IGONZELA
2
13 Shirika la Reli Tanzania (TRC) ARTISAN II (CIVIL)
1. BREYSON FAUSTIN RUKIZA
2. ISMAIL JARIBU ISMAIL
3. NICODEMAS BEATUS NGELEJA
4. GODLISTEN ELIREHEMA NNKO
5. DAVID EDON MWANGOSI
6. MAGESA MKAMA MINIPHY
7. MARY PETER MAMBO
8. MARCO HASARA KENGWA
9. FREDNAND HENRY RUME
10. WILLIAM FRANCIS SELEMANI
11. ESTHER JOSEPH SHIBIRITI
12. RAMBO SAMWEL MASHIMBA
13. ERICK BENJAMINI THOBIASI
14. NYEMO YARED SONGO
15. FREDY BERNARD SHIRIMA
16. LAMECK MGOLOZI KAISHOZI
17. ISMAIL HAJI SELEMANI
18. MUSSA DITU MWENDA
19. DAVID PATRICK KATOTO
20. STANI ULEDI CHENYI
21. SOPHIA MICHAEL MAHIMBO
22. MESHACK STIVIN KAMWELA
23. VICENT JOHN KIKULA
24. KULWA DEOGRATIAS MALIMI
25. HILDA JULIUS MAGINA
26. MARY MENDRAD MBUTA
27. REVOCATUS STEPHANO PAULO
28. MAGRETH ANACLET MAGAGAZA
29. GRAYSON TAIFA MAHENGE
30. ERINEM RUGAIMUKAMU
EDWARD
31. MAGRETH ONESPHORY PAULO
32. AZAM KAIMUKILWA ABDUL
33. ISAYA BAHATI MWAKILASA
34. ANANIA RONJINO ANANIA
35. MSOMI CHANANJA MSOMI
36. WILIANO ALEX KIGODI
37. ABDUL SWALEHE MKWANDA
38. EMANUELY KELVIN SILIMU
39. JACOB JOHN MMASI
40. EVANCE VEDASTO TOROTO
41. OMARY WAMBOI MANGORY
42. JOSEPH JACOB MARIKI
43. MARTIN EMMANUEL MICHAEL
3
14 Shirika la Reli Tanzania (TRC) ARTISAN II (ELECTRICAL)
1. BONAVENTULA ALBERT
MAKOTHA
2. IDRISA ALALAE ULIZA
3. ABDUL BAKARI NGODA
4. GEOFREY JOSEPH MALYEMA
5. MAFURU HATARI MAGESA
6. SHABANI ISSA META
15 Shirika la Reli Tanzania (TRC) PLANT OPERATOR II
1. FILBERT ALEX SIMON
2. SELEMANI JUMA MGUMBA
3. BAHATI SHAMTE NGAOLA
4. MARIAMU SAIDI MBUGULU
5. AMIRI IBRAHIM MSUMARY
6. ALLY OMARY ABDALLAH
7. ALLY SELEMANI NGELLA
8. DICKSON JOHN MULAMUZI
9. HASSAN GODFREY CHAULEMA
10. SELEMANI GODFREY MAYUNGA
11. SHARIFU MSHAMU MALIMA
12. ISSAKWISA ANOSISYE
MWAIFUGE
13. ABDULQADIR SAID NGALUNDA
14. HAMADI HUSSEIN MKOMWA
15. HERRY ALLY MWARUKA
16. PAMELA CHRISTOPHER
MAKUNJA
17. FAWZ SALUM HEMED
18. WITNES EZEKIEL NADO
19. SALUMU ISSA SALUMU
20. MIKIDADI SELEMANI NAPINDA
21. THOBIAS CHARLES MHAGAMA
22. RAMADHANI HAMISI NALINGA
23. HAPPINES JOHN MFOI
24. FABIAN CHARLES MATUMA
25. KARIM OMARY KHALFAN
26. ABRAHAM AMOS MUSHI
27. SELEMANI ATHUMANI KIJUMU
28. KEFA HILLARY MHALU
29. CRISPIN REGINALD MHINA
30. PASCAL CHRISTOPHER
NG'OMBO
31. PATRICK PAULO MACHA
32. PRINCE MOHAMEDI OMARI
33. HAMISI RAMADHANI MAYALA
16 Shirika la Reli Tanzania (TRC) SIGNALING & TELECOMMUNICATION ENGINEERS II
1. WILLIAM FRANK MOTA
2. IBRAHIM HIJA MBOTONI
4
17 Shirika la Reli Tanzania (TRC) STATION MASTERS II
1. JOSEPH MAXIMILIAN MBOWETO
2. RUKIA ADAMU KIBIRA
3. SHANI ELIAS MAYUNGA
4. SAID MSAFIRI SAID
5. KOMBO CHAPA KHAMISI
6. MADHANI
7. ADAM JOSEPH DONGOLA
8. HUSSEIN ABIBU MBIRO
9. FAITH PAULO BUNGA
10. YOHANA VICENT KIZUGUTO
11. SADOCK RASHID KANUMA
12. KELVIN DAVID MALLE
13. HANIFA AMIRY MILANZI
14. AGNES MOHAMED MAJUBWA
15. PILLY HASSAN HUSSEIN
16. LEO MPONELA MASANJA
17. STAJIBEGE SHEHE MOHAMED
18. ALLY MOHAMEDI RA
19. THERESIA EMMANUELI MUSHI
20. ESTER JUSTICE ELLY
21. GREYSON MUSA BOY
22. HELENA BONIFASI MANYIKA
23. PROSPER JOVINE MFOI
24. ANITHA GASPAR CLEMENCE
25. LUCAS THOBIAS MAGWEIGA
26. ELISHA KALISA ESERY
27. YUSUFU SAMSON MAGEMBE
28. PENDO JACKSON CHITULU
29. JASMIN RAMADHAN KIMARO
30. LEAH LEONARD MAPELA
31. LEILAH RASHIDI ISAYA
18 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa ARTISAN II (ELECTRICAL)
(MUCE) 1. RAMADHANI HUSSEIN MAHUNDI
2. MESHACK ENOS BALUHI
19 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa ARTISAN II (PLUMBER)
(MUCE) 1. LILIAN DOMINICK MLANGWA
20 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa ARTISAN II (MASONRY)
(MUCE) 1. JAMES GERALD MAKALA
21 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa TECHNICIAN II (CIVIL)
(MUCE) 1. MARIA FESTO LUKENYO
22 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ENGINEER II (BROADCASTING ENGINEERING)
1. OCTAVIAN WILLIAM PETER
2. SHABANI JUMANNE SELEMANI
NTEMI
23 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ENGINEER II (CONFORMITY AND INTEROPERABILITY)
1. ADRIANO ADRIANO KAMOYE
2. BERNARD FRANK MOSHA
24 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ENGINEER II (FREQUENCY MANAGEMENT)
1. BONIPHACE NGUSSA
MWAMPANDA
5
25 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ENGINEER II (TELECOMMUNICATIONS AND INTERNET
ENGINEERING) 1. JUSTINE TUNZO EMMANUEL
2. FRANCISCO TIMOTH KAMBI
3. JOFREY COSMAS SUNGU
4. EXAUD NAFTAL MLAY
5. JIPEME ALOYCE MAYENGA
6. RAMADHAN YUNUS MSANGI
7. GODSLOVE SIFUELI BONGOLE
8. BRYSON JIMMY MWASEBA
9. PROSPER FRED KIMEME
10. ABDON MUZAHURA GERASE
26 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ICT OFFICER II (CYBER SECURITY)
1. SIAKA THOMAS SHIRIMA
2. ENOCK MELICKSEDECK MGONGA
27 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ICT OFFICER II (DATA ANALYST)
1. NIELSEN WILLIAM CHIUTILA
28 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ICT OFFICER II (SYSTEM DEVELOPER)
1. GEORGE HONORIUS MILLANZI
2. SARONI WILFRED SAITORIA
3. MESHACK ANDREW MTWEVE
4. KALAGALA BAZILIO KAPUNDA
5. ZACHARIA CHARLES MWIHECHI
29 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ICT OFFICER II (SYSTEM ADMNISTRATOR)
1. JASTINE JOHN SELESTINE
2. GIVEN GEOFREY NGODOKI
30 Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma INVESTIGATION OFFICER II
1. EMMA RAPHAEL MASILAMBA
2. ASHA ABDUL SHEBE
3. NANCY BEDAH SHAYOH
4. BELINDA MAUREEN MHOKOLE
31 Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma LEGAL OFFICER II
1. CATHERINE MUKARWITWA
TIBASANA
32 Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II
1. YUDA RUDOVICK KAVUGUSHI
2. GODFRIDA WILLIAM SIMBA
3. FAY GRACE SADALLAH
4. HELLENA WILFRED MWANJILA
5. ANDREW NAFTAL MIRAA
33 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TECHNICIAN II (ELECTRICAL)
(TEMESA) 1. NOEL FADHILI CHUMA
2. HYMONE DEUSDEDITH
AUGUSTINE
3. NELSON NESTORY LIMBA
4. JAFARI VULI RAMADHANI
5. DENIS DONAT MUNISHI
6. RAMADHANI MOHAMEDI JUMA
7. IRENE JOACHIM MKENDA
8. FAITH FERDINAND BAKILILEHI
9. NATHAN JONATHAN RAPHAEL
10. ISIHAKA RAMADHANI MSINGWA
34 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) LEGAL OFFICER II
1. FORTUNATUS GODFREY NZOWA
LIMETOLEWA NA;
KATIBU
6
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA